Davido anunua (Bombardier 7500), mkwanja aliotumia ni hatari!
Eric Buyanza
April 5, 2024
Share :
Nyota wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, David Adeleke, maaraufu kwa jina la Davido kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter) ameiweka wazi habari mpya ya kwamba sasa anamiliki ndege binafsi aina ya (Bombardier Global 7500) yenye thamani ya dollar za kimarekani milioni 75.
Hii ni aina ya ya ndege zinazoheshimika sana kutoka kampuni ya Bombardier, hutumika na matajiri wakubwa duniani kwa safari zao za kibiashara.