pmbet

Davido atamba bei ya pete aliyomvalisha mchumba wake Chioma, ni Bilioni 2

Eric Buyanza

June 22, 2024
Share :

Nyota wa muziki wa Afrobeats kutoka Nigeria, Davido, anasema pete ya uchumba aliyomvalisha mchumba wake aitwae Chioma ina thamani ya gari mbili au tatu za kifahari aina ya Rolls Royce.

Nyota huyo alifichua hilo kwenye video fupi ikiwaonyesha wawili hao wakiwa kwenye gari ya kifahari aina ya Rolls Royce huku wakiongeleshwa na mtu aliyekuwa nje. 

Thamani ya Rolls Royce moja mpya ya mwaka 2024 ni dollar 350,000 (sawa na milioni 900 za kibongo) ukifanya mara gari 2 inakuja kama shilingi Bilioni 1.8.

Wapenzi hao wamepewa jina la utani 'ChiVido'.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet