Davido atangaza kuachia Album mpya
Joyce Shedrack
March 13, 2024
Share :
Msanii wa muziki Afrobeat kutoka Nigeria, Davido ametangaza kuachia album yake ya kwanza tangu kuanza kwa mwaka huu wa 2024 itakayokuwa na ngoma 15 alizofanya kolabo na wasanii 6 tofauti.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.