Davido awataja wasanii wake 3 anaowakubali
Eric Buyanza
April 26, 2024
Share :
Kutoa Nigeria, staa wa muziki wa AfroBeat, David Adeleke, almaarufu Davido, amewataja wasanii watatu anaowakubali.
Akiongea kwenye 'podcast' ya Marekani (Business Untitled), Davido alitakiwa kutaja wasanii anaowapenda linapokuja swala la kolabo.
Haya ndiyo majibu yake;
"Napenda kufanya kazi na Chris Brown, Kizz Daniel na Zlatan [Ibile]," alisema