pmbet

Davido aweka almasi yenye thamani ya Bilioni 1 kwenye meno.

Joyce Shedrack

July 23, 2024
Share :

Msanii wa Afrobeat kutoka Nigeria  Davido ameendelea kuonyesha jeuri ya pesa zake baada ya kuweka Almasi kwenye meno yake yenye thamani ya Billion 1.3 sawa na dola 500k. 

 

Sambamba na hilo msanii huyo amemzawadia meneja wa mke wake  Ubi Franklin gari jipya aina ya GAC Jeep.

 

Ubi Franklin alichapisha video kwenye ukurasa wake wa instagram akimshukuru msanii huyo kwa zawadi kubwa aliyompatia huku baadhi ya mashabiki wakionekana kummwangia sifa msanii huyo kwa jinsi anavyojua kuwajali watu wa karibu yake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet