pmbet

Davido na Chioma kufanya harusi nyingine Florida Marekani.

Joyce Shedrack

August 7, 2025
Share :

Mwanamuziki wa #afrobeats nchini Nigeria #davido na mkewe Chioma wanatarajia kufanya hafla nyingine ya harusi yao ambayo wameipa jina la “White Wedding” mjini Miami nchini Marekani weekend hii baada ya ile ndoa ya kitamaduni ambayo waliifanya Juni 25,2024 mjini Lagos nchini Nigeria.
Chivido: Chioma, Davido's fairytale wedding that 'scattered' social media
Taarifa zinasema kuwa tayari familia ya Davido imeshafika nchini Marekani akiwemo kaka yake pamoja na Gavana wa Jimbo la Osun, Ademola Adeleke ili kuhudhuria harusi hiyo kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Gavana, Olawale Rasheed alipothibitisha uwepo wa safari hiyo siku ya Jumanne.

Aprili 8, 2025 Davido alithibitisha kuwa yeye na mkewe, Chioma Avril Rowland, watafanya hafla ya harusi (White Wedding) huko Miami, Florida, mnamo Agosti 2025 wakati wa mahojiano kwenye kipindi cha The Breakfast Club.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet