pmbet

Dawa za kulevya huathiri umeme wa moyo na kusababisha vifo vya ghafla - Prof Janabi

Eric Buyanza

July 18, 2024
Share :

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi, amesema hospitali hiyo inahudumia watu 3,840 walioathirika na dawa za kulevya, ambapo takribani watu 900 wanapokea methadone kila siku. 

Kwa mujibu wa Prof Janabi, matumizi ya dawa za kulevya huathiri mfumo wa umeme wa moyo na kusababisha vifo vya ghafla.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet