De Bruyne apewa jezi ya Maradona Napoli
Sisti Herman
July 16, 2025
Share :
Baada ya kujiunga na klabu ya Napoli, Kevin De Bruyne amekabidhiwa jezi namba 10 aliyoivaa juzi siku yake ya kwanza ya mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya.
Klabu hiyo ya Italia ilistaafisha jezi namba 10 mwaka wa 2000 kwa heshima ya gwiji wao Diego Maradona.