De Ligt aachwa na Mke wake
Sisti Herman
September 3, 2025
Share :
Kulingana na Realityfbi, beki wa klabu ya Manchester United Matthijs De Ligt ameripotiwa kuachana na mke wake Annekee.
"Inavyoonekana, Matthijs hawezi kushughulikia tena 'maudhui ya spiriwiri' ya Annekee huku ikidaiwa wawili hao kuwa wamepeana talaka."
Ilisema sehemu ya ripoti hiyo.