Delap apewa jezi yenye gundu Chelsea
Sisti Herman
June 5, 2025
Share :
Baada ya kukamilisha usajli wa mshambuliaji wao mpya, Liam Delap kutoka Ipswich iliyoshuka daraja, klabu ya Chelsea imempatia mshambuliaji huyo jezi namba 9 ambayo ni kama ina mkosi wa kufanya vizuri kwa wachezaji waliowahi kuivaa.
Jezi hiyo imewahi kuvaliwa na washambuliaji wafuatao;
- Alvaro Morata
- Radamel Falcao
- Pierre E. Aubameyang
- Romelu Lukaku
- Tammy Abraham
- Gonzalo Higuain
Na wengine wengi ambao hawajaacha alama kubwa kwenye klabu hiyo.