Derby ya Kariakoo kupigwa uwanja wa Uhuru.
Joyce Shedrack
October 5, 2026
Share :
Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Cornel Barnabas, ametangaza rasmi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, kutumika kwenye Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga itakayopigwa Oktoba 10, 2026.
Barnabas amesema kuwa katika mchezo huo, kila shabiki atapata fursa ya kuchagua siti anayopendelea wakati wa kununua tiketi, hatua itakayompa uhuru wa kuchagua eneo analotaka kukaa uwanjani.





