Diamond akimtema Zuchu hatoweza kusimama mwenyewe
Joyce Shedrack
March 18, 2024
Share :
Msanii wa sanaa ya maigizo Tanzania Mr. Pimbi amewapiga marufuku mashabiki wa Zuchu wanaomfananisha msanii huyo na Nandy akisema Zuchu bila WCB hamna kitu ila Nandy anaweza kujisimamia mwenyewe.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.