pmbet

Diamond ampa Jokate Maua yake

Sisti Herman

April 2, 2024
Share :

Msanii wa muziki anayewakimbiza wote kwasasa nchini Diamond Platnumz "amemmwagia maua" mengi wakati akimtakia kheri kwenye wiki ya kuzaliwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa wanawake wa Tanzania na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe na Temeke Jokate Mwegelo.

“Jembe, Mbunifu, Mchapa Kazi….Mwenyezi Mungu Akubariki Katika Wiki Yako Hii Ya Kuzaliwa” aliandika Diamond Platnumz kupitia Insta Story yake.

 

Ikumbukwe kuwa wawili hao waliwahi kuwa wapenzi miaka iliyopita.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet