pmbet

Diamond atajwa kuwa mtu maarufu zaidi Tanzania.

Joyce Shedrack

February 6, 2026
Share :

Msanii maarufu wa muziki kutoka Tanzania, Diamond Platnumz, ametajwa na majarida mbalimbali ya kimataifa kuwa miongoni mwa watu mashuhuri zaidi kutoka nchini Tanzania. 

Diamond Platnumz spends more than Sh450 million on one music video | The  Citizen

Umaarufu wake umetokana na mafanikio makubwa katika muziki wa Bongo Fleva na ushawishi wake mkubwa barani Afrika, pamoja na tuzo na ushirikiano wa kimataifa uliomuweka kwenye ramani ya dunia.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet