pmbet

Diamond atamba kumkanyaga Alikiba YouTube.

Joyce Shedrack

July 4, 2024
Share :

Nyota wa bongofleva Diamond Platnumz ameweka wazi furaha yake baada ya yeye pamoja na wanamuziki wengine anaowasimamia kushika number 1 kama wasanii wa muziki waliotazamwa zaidi mwezi juni kupitia ukurasa wa YouTube. 

 

Kupitia Takwimu zilizotolewa na ChatsTanzania zinaonyesha kwamba wasanii waliokuwa na watazamaji wengi kwenye mtandao huo wanaongozwa na Diamond akifuatiwa na wasaniii 2 ambao waliwahi kupita chini ya mikono yake na  2 waliochini ya lebo yake  mpaka sasa.

 

Katika orodha hiyo Chui Rayvanny anashika namba mbili, namba ni tatu ni mwanadada Zuchu, namba nne akikaa Mbosso na namba ni Harmonize ambaye aliwahi kusimamiwa na WCB.

Diamond ameonyesha furaha yake kwa kuchapisha orodha hiyo kupitia Insta Story yake na kuandika '' Simba na wanawe'' . 

 

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet