Diamond atwaa tuzo ya Msanii bora wa Kimataifa Afrika Nchini Nigeria.
Joyce Shedrack
March 10, 2025
Share :
Staa wa muziki wa bongofleva Diamond Platnumz ameshinda Tuzo Nyingine Ya Msanii Bora Wa Kimataifa Kutoka Afrika 2025.
Diamond ameshinda Tuzo Hii Nchini Nigeria 🇳🇬 Tuzo Za Galaxy Music Awards.
Hii tunaijumlisha na Wiki Kadhaa Nyumba Alishinda Tuzo Hii Yenye Mfanano Wa Category Hii Hii Katika Tuzo Za Trace.