Diamond. Jux na Ali Kiba kwenye mkutano mkuu wa CCM.
Sisti Herman
January 19, 2025
Share :
Wasanii Mbalimbali wakifuatilia Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 Tanzania Bara na Zanzibar katika siku ya Pili ya Mkutano Maalum leo Tarehe 19 Januari 2025.