pmbet

Diara na Matampi nani kutwaa tuzo ya kipa bora?

Sisti Herman

May 15, 2024
Share :

Mchuano wa tuzo za msimu wa ligi kuu Tanzania bara umeanza huku tuzo ya kipa bora wa msimu ikionekana kuwa na mchuano unaosisimua zaidi baada ya makipa wawili wanaowania tuzo hiyo Djigui Diara na Ley Matampi kuonyesha ubora mkubwa na kuzisaidia timu zao huku wakiwa na takwimu bora zaidi.

Hizi ni takwimu za makipa hao msimu huu;

Djigui Diara
- Mechi - 20
- Dakika 1755
- Hatisafi (Clean Cheets) - 13
- Kadi za njano - 2

Ley Matampi
- Mechi - 21
- Dakika 1890
- Hatisafi (Clean Cheets) - 13
- Kadi za njano - 2

Je kwa takwimu hizo na uwezo wao dimbani unadhani nani anastahi kutwaa tuzo hiyo?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet