pmbet

Diarra aitwa timu ya Taifa ya Mali kukiwasha AFCON 2025.

Joyce Shedrack

December 12, 2025
Share :

Golikipa wa klabu ya Yanga Djigui Diarra ameitwa kwenye kikosi cha wachezaji 26 watakaoipeperusha bendera yaMali kwenye Michuano ya AFCON 2025 Nchini Morocco.
Diarra aanza vyema Afcon | Mwanaspoti

Timu ya Taifa ya Mali imepangwa kundi moja na wenyeji Morocco, Zambia na Comoros huku mchezo wa kwanza ukiwakutanisha na Zambia.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet