Diarra, Aziz Ki uso kwa uso Afcon
Sisti Herman
January 25, 2024
Share :
Nyota wa Yanga SC, Stephanie Aziz Ki na golikipa Djigui Diarra wanatarajiwa kuchuana katika hatua hiyo baada ya Mali ya Djigui Diarra kukutanishwa dhidi ya Burkina Faso ya Stephanie Aziz Ki baada ya droo ya hatua ya 16 bora ya kombe la mataifa Afrika (AFCON 2023) kuwa wazi baada ya michezo ya hatua ya makundi kutanmatika jana.
Michezo ya Hatua ya 16 bora
Januari 27
Angola vs Namibia
Nigeria vs Cameroon
Januari 28
Guinea ya Ikweta vs Guinea
Misri vs DR Congo
Januari 29
Cape Verde vs Mauritania
Senegal vs Ivory Coast
Januari 30
Mali vs Burkina Faso
Morocco vs Afrika Kusini