pmbet

Dickson aenda jela miaka 30 kwa kosa la kumlawiti mkewe

Eric Buyanza

March 13, 2024
Share :

Mahakama ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, imemhukumu Dickson Mbilo mkazi wa Kitelewasi, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumlawiti mke wake na kumsababishia sehemu zake za siri kuharibika vibaya.

Kulingana na maelezo ya mwanamke huyo, Dickson alikuwa akimfanyia kitendo hicho kama adhabu pale anapokuwa amekosea jambo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet