pmbet

Diddy afuta 'post' zake zote za Instagram

Eric Buyanza

June 22, 2024
Share :

Wakati tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia zikiendelea kumuandama, Rapa mkongwe na gwiji la biashara ya muziki Sean "Diddy" Combs ameamua kufuta 'Post' zake zote kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram.

Diddy amefuta picha na machapisho yake yote kwenye mtandao huo na haijulikani ni nini sababu ya mwamba kufanya hivyo.

Hata hivyo post za mtandao wake wa X (zamani Twitter) hajazigusa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet