Diego Simeone afikisha mechi 1000 tangu aanze ukocha
Sisti Herman
May 3, 2026
Share :

Kocha Diego Simeone amefikisha mechi ๐๐๐๐ katika kazi yake ya ukocha, akiweka alama ya kuwa mmoja wa magwiji wa mchezo kwa nafasi hiyo.
Hizi ni timu alizofundisha na idadi ya mechi zake tangu aanze kazi hii;
๐ฆ๐ท Racing - michezo 34
๐ฆ๐ท Estudiantes โ michezo 61
๐ฆ๐ท River Plate - michezo 45
๐ฆ๐ท San Lorenzo - michezo 47
๐ฎ๐น Catania - michezo 18
๐ช๐ธ Atlรฉtico Madrid - michezo 794
Hii ni rekodi ya kipekee kwake bila shaka.





