pmbet

"Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea"Rais Samia.

Joyce Shedrack

July 17, 2025
Share :

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 inalenga kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kujitegemea, huku akieleza kuwa safari hiyo ni ngumu na ndefu lakini inawezekana.



Rais Samia ameeleza umuhimu wa kujenga msingi madhubuti wa uchumi wa ndani, akibainisha kuwa mikopo kutoka nje mara nyingi huambatana na masharti magumu, jambo linaloonyesha ulazima wa kujitegemea kiuchumi.

Amesema kuwa ili Tanzania ifike kwenye malengo ya Dira hiyo, kuna haja ya kuwekeza katika viwanda, elimu, kilimo chenye tija, na teknolojia, sambamba na kuimarisha usimamizi wa rasilimali za taifa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet