Director Khalfani Afariki dunia
Sisti Herman
May 5, 2024
Share :
Muaandaji maarufu wa video za muziki ( Director Khalfani ) maarufu kama ‘Khalmandro’ amefariki dunia leo May 5, 2024 Hospital ya Taifa ya Muhimbili alipokua akipatiwa matibabu kutokana na maradhi yaliyokua yanamsumbua kwa muda Mrefu .
Watu wa karibu wa msiba huo wamethibitisha kuwa Marehemu ataswaliwa kwenye msikiti wa Maamur kabla ya kuzikwa kwenye makaburi ya Kisutu jiji Dar es salaam leo jioni.