pmbet

Director Nisher afariki dunia

Eric Buyanza

December 12, 2023
Share :

Director wa video za muziki maarufu kutoka Arusha (Director Nisher) amefariki dunia.
 

Taarifa iliyochapishwa na familia yake kwenye mtandao wa kijamii inasema:
 

Familia ya Nabii Mkuu Mhe. Dkt. Geordavie inasikitika kutangaza kifo cha kijana wao mpendwa Nic Davie (Director Nisher) kilichotokea usiku wa kuamkia leo saa nane na dakika tisa.
 

Msiba unafanyikia katika nyumba ya matamko Kisongo Arusha Tanzania!!

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet