pmbet

Dj Seven ampiga na kitu kizito Harmonize

Joyce Shedrack

March 13, 2024
Share :

Aliyewahi kuwa DJ wa msanii wa mziki bongofleva Harmonize anayefahamika kama Dj Seven amechapisha ujumbe kwenye mtandao wake wa kijamii unaosemeka “Kama ukishindwa kuwapiga ungana nao” ujumbe unaonekana kumlenga msanii Harmonize na hii ni baada ya kusambaa  video ya Harmonize akisalimiana na Diamond Platnumz ambaye alikuwa bosi wake hapo awali.
 

Fuatialia zaidi kwenye video hapo chini. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet