Dkt. Mpango azindua na kununua bondi "Samia Infrastructure Bond"
Sisti Herman
November 29, 2024
Share :
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, amezindua mfuko wa hatifungani wa "Samia Infrastructure Bond".
Kwenye halfa hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City Dkt. Mpango pia amenunua bondi za Shilingi Milioni 100 kuashiria uzinduzi wa Hati fungani hiyo.