Dodoma Jiji walamba dili nono la Udhamini kutoka PM-Bet
Sisti Herman
July 23, 2024
Share :
Klabu ya Dodoma Jiji ya ligi kuu Tanzania bara imeingia mkatba wa udhamini na kampuni kubwa ya michezo ya kubahatisha nchini PM-BET kuwa wadhamini wao wakuu kuelekea msimu ujao wa mashindano.
Picha juu ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa PM-BET William Kimonge sambamba na Meneja Uzalishaji wa PM-BET Monami Rangi wakati wa Utambulisho rasmi wa ushirikiano wa kibiashara baina ya klabu hiyo na kampuni hiyo.