Dogo wa miaka 19 aoa wake wawili kwa siku moja!
Eric Buyanza
December 30, 2023
Share :
Huko Bauchi nchini Nigeria, Dogo wa miaka 19 aliyefahamika kwa jina la Tasiu Waziri Alkaleri, ameoa wake wawili kwa siku moja.
Inaelezwa kwamba Tasiu alioa jana siku ya Ijumaa kwa kufuata taratibu zote.