pmbet

Dogo wa miaka 19 avunja rekodi ya Schwarzenegger

Sisti Herman

December 19, 2023
Share :

Mtunisha misuli Anton Ratushnyi mwenye umri wa miaka 19, amevunja rekodi ya muda mrefu iliyokuwa ikishikiliwa na Arnold Schwarzenegger, na kuwa mtunisha misuli mwenye umri mdogo zaidi katika historia.

Schwarzenegger alikuwa ameweka rekodi hiyo mwaka wa 1969 aliposhinda taji la Mr. Universe akiwa na umri wa miaka 20, na kumfanya kuwa mwanamisuli mdogo zaidi kuwahi kupata ‘pro card’​. Ratushnyi amevunja rekodi hiyo kwa kushinda mataji matatu ya National Physique Committee (NPC) na kupata kadi akiwa na umri wa miaka 19, na kuipita rekodi ya Schwarzenegger kwa mwaka mmoja.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet