pmbet

Dokta ashtakiwa kwa kufupisha 'Maumbile' badala ya kuongeza!

Eric Buyanza

January 24, 2024
Share :

Jamaa mmoja tajiri wa huko nchini Uturuki anamshtaki Daktari aliyemfanyia upasuaji wa kuongeza 'maumbile ya kiume' kwa madai kuwa maumbile hayo yamepungua badala ya kuongezeka kama alivyokuwa akitarajia.
 

Kwa mujibu wa jamaa 'kiungo chake' kilipungua sentimita moja baada ya oparesheni hiyo iliyoshindikana.
 

Tajiri huyo wa kituruki kutoka mji wa Tekirdağ, anadai fidia ya Dollar $16,500 sawa na (Milioni 41) za kibongo kutoka kwa dokta aliyemfanyia upasuaji huo aliyefahamika kwwa jina la Haluk Soylemez.
 

Jamaa anadai kwamba Daktari alimuahidi nyongeza ya sentimeta 3 (inchi 1.1) kwa urefu, lakini baada ya upasuaji aliishia kuwa na sentimeta moja chini ya aliyokuwa nayo hapo awali.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet