pmbet

Dorothy Semu achukua nafasi ya Zitto Kabwe Act-Wazalendo

Eric Buyanza

March 6, 2024
Share :

Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti-Bara wa Chama cha ACT Wazalendo, Doroth Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa Chama akichukua nafasi ya muasisi wa chama hicho, Zitto Kabwe aliyemaliza muda wake.
 

Semu ameshinda kwa Kura 534 sawa na 65.7% zilizopigwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama ambapo alikuwa akiwania nafasi hiyo na Mbarala Maharagande aliyepata Kura 184 sawa na 34.3%.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet