pmbet

Doumbia aongozana na Simba safari ya kuwafuata Kagera Sugar.

Joyce Shedrack

August 15, 2026
Share :

Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Doumbia ni sehemu ya kikosi cha timu hiyo kilichosafiri kwenda Mkoani Kagera kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar kesho.



Simba imeondoka leo kwenda mkoani humo kwa ajili ya pambano hilo la kwanza la Ligi Kuu na mchezo huo utakaochezwa katika dimba la Kaitaba mkoani humo.

Simba imesafiri na nyota wake wote iliowasajili kea ajili ya kuwatumia katika msimu huu wa 2026/2027.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet