pmbet

DRC yazindua kiwanda cha kwanza cha kusafisha dhahabu

Sisti Herman

March 12, 2026
Share :

 

Congo DRC imezindua kiwanda chake cha kwanza cha majaribio cha kusafisha dhahabu katika mji wa Kalemie, Mkoa wa Tanganyika Province.

Kiwanda hicho kinachoitwa DRC Gold Refinery S.A. kimezinduliwa Machi 11, 2026 na kinatarajiwa kuzalisha kilo 500 hadi 600 za dhahabu iliyosafishwa kila mwezi.

Mradi huo unalenga kuongeza thamani ya madini nchini, kuboresha uwazi wa biashara ya dhahabu na kuwapa fursa zaidi wachimbaji wadogo pamoja na wawekezaji wa ndani.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet