pmbet

Duchu apigwa faini Milioni 1 kisa viashiria vya ulozi.

Joyce Shedrack

March 6, 2026
Share :

Mchezaji wa Simba David Kameta maarufu Duchu ametozwa faini ya Tsh. milioni 1 (1,000,000/=) kwa kosa la kumwaga kimiminika kiwanjani wakati timu hiyo ilipozuru uwanja dakika chache baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Amaan.
DAVID KAMETA DUCHU BAADA YA KUPATA NAFASI KWA MARA YA KWANZA MSIMU HUU  ATUMA UJUMBE KWA MASHABIKI
Kitendo hicho kimetafsiriwa kama Imani za kishirikina.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet