pmbet

Duke Abuya arejea mazoezini Yanga

Eric Buyanza

November 6, 2026
Share :

Kiungo wa Yanga, Duke Abuya ameanza mazoezi mepesi na kikosi hicho baada ya kuwa nje ya uwanja kutokana na majeraha ya Goti.

 

Kiungo huyo raia wa Kenya aliumia kwenye pambano la Simba na Yanga lililofanyika October 10 huku Simba ikishinda mchezo huo kwa mabao 2-1.

 

Nyota huyo jana alikuwa sehemu ya wachezaji wa kikosi hicho waliofanya mazoezi kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet