pmbet

Duke Abuya ataendelea kusalia Jangwani hadi mwaka 2027.

Joyce Shedrack

July 27, 2025
Share :

Kiungo wa Timu ya Taifa ya Kenya Duke Abuya ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia jezi ya wananchi kwa miaka mingine miwili hadi mwaka 2027.

Duke Abuya strikes as Yanga sweep five trophies in 2024/25 season -  SportPesa Blog: Kenya

Abuya mwenye umri wa miaka 31 alijiunga na Yanga Julai 12,2024 akitokea klabu ya Singida Black Stars.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet