pmbet

Ebola yahamisha kambi ya kombe la dunia ya Dr Congo

Eric Buyanza

May 21, 2026
Share :

Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imehamisha kambi yake ya mazoezi ya kabla ya Kombe la Dunia kutoka Kinshasa hadi Ubelgiji kufuatia mlipuko wa Ebola nchini humo ulioibuka hivi karibuni mashariki mwa DR Congo.

 

Maafisa walithibitisha kuwa kambi hiyo, ambayo awali ilipangwa kufanyika katika mji mkuu wa Kongo kwa siku tatu, sasa itafanyika Ulaya.

 

Mlipuko huo mpaka sasa umeripotiwa kusababisha vifo 139.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet