pmbet

El Merriekh yamhitaji kipa wa Azam

Sisti Herman

June 4, 2024
Share :

Tetesi za usajili zinaeleza kuwa Klabu ya El Merreikh ya Sudan inamuhitaji golikipa wao Mustafa Mohammed ambae yupo kwa mkopo Azam FC baada ya kupata nafasi ya kushiriki ligi ya Mauritania kwa msimu ujao.

El Merreikh walimtoa kwa mkopo Azam ili kumpata 'match fitness' maana ndio mlinda mlango namba moja wa Sudan .

Azam inafanya jitihada za kumshawishi mchezaji mwenyewe awaombe Al Merreikh ili aendelee kusalia Azam msimu ujao japo El Merreikh kumuhitaji zaidi mchezaji wao.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet