Elon Musk kumuunga mkono Trump, amkataa Biden
Sisti Herman
March 26, 2024
Share :
Mjasiriamali wa Marekani ambaye pia ni mmiliki wa mtandao wa kijamii wa X (zamani Tweeter), Tesla na tecknolojia ya Space X, Elon Musk ametangaza katika mkesha wa uchaguzi wa rais wa Marekani kwamba hatakiunga mkono tena Chama cha Cha Democrats
"Nilipiga kura 100% Dem hadi miaka michache iliyopita.
Sasa, nadhani tunahitaji wimbi jekundu au Amerika ni toast," Musk aliandika kwenye X.
Nyekundu ni rangi ya Chama cha Republican, wakati bluu inalingana na Democrats. "Mawimbi ya bluu" na "mawimbi mekundu" hutumiwa kuelezea ni chama gani kinaongoza uchaguzi.