Endrick arejea rasmi Madrid
Sisti Herman
June 5, 2024
Share :
Kinda wa Brazil Endrick amerejea rasmi Madrid baada ya kumaliza msimu na kuaga kwenye ilityokuwa klabu yake nchini Brazil, Palmerias.
Endrick amemzawadia Rais wa Real Madrid Florentino Perez jezi ya timu ya Taifa ya Brazil iliyosainiwa huku akitambulishwa mbele ya mataji makubwa ya Baernabeu.
Hizi ni takwimu za Endrick akiwa Palmerias;
82 Michezo
21 Magoli
4 asisti
2x Brasileirão
2x Paulistão
1x Supercopa do Brasil