pmbet

Endrick kujiunga na AC Milan January

Sisti Herman

November 22, 2026
Share :

 

Klabu ya AC Milan ya Italia imeingia rasmi vitani kuwania saini ya mshambuliaji kinda wa kimataifa wa Brazil, Endrick Felipe, ikiripotiwa kuandaa kitita kinachofikia Euro milioni 70 ili kumng’oa kutoka Real Madrid katika dirisha dogo la usajili la mwezi Januari 2027.

Hatua hiyo inakuja siku chache baada ya Mwenyekiti na Mmiliki wa AC Milan, Gerry Cardinale, kuvunja ukimya na kukiri hadharani kuvutiwa na uwezo wa nyota huyo mwenye umri wa miaka 20, akimtaja kuwa mmoja wa washambuliaji bora zaidi duniani katika rika lake

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet