Eng Hersi ampokea Hakimi, kumtembeza kwenye vivutio vya utalii
Eric Buyanza
June 24, 2024
Share :
Rais wa @yangasc Mhandisi HERSI SAID @caamil_88 amempokea Mgeni wake ACHRAF HAKIMI @achrafhakimi katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro.
Mchezaji huyu bora kutoka katika Klabu ya PSG ya nchini Ufaransa ameambatana na rafiki zake saba atakuwa nchini kwa wiki moja huku wakitembelea vivutio mbali mbali vya utalii nchini.