pmbet

Eswatini yawapa wafanyabiashara wa kigeni miezi 12 kuondoka

Eric Buyanza

November 13, 2026
Share :

Serikali ya Eswatini (zamani Swaziland) imeamuru wafanyabiashara wa kigeni wanaoendesha biashara kinyume cha sheria kupewa kipindi cha miezi 12 kupanga mambo yao au kuondoka nchini humo.

 

Hatua hii inatokana na utekelezaji wa sheria ya mpya ya Citizen Economic Empowerment Act, inayolenga kuongeza ushiriki na umiliki wa biashara mikononi mwa wananchi wa Eswatini (Wazawa).
 

Hatua hii inakuja baada ya kuwepo kwa malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wafanyabiashara wazawa kwamba wageni wamevamia masoko ya rejareja, hususan katika maeneo ya vijijini, na kusababisha ushindani mkubwa unaotishia kipato chao.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet