pmbet

Fagio la chuma lapita na jina lake Jobe apewa 'Thank You'

Joyce Shedrack

July 16, 2024
Share :

Klabu ya Simba imethibisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Pa Omar Jobe (25) aliyejunga na Simba dirisha dogo la msimu uliopita.

Mshambuliaji huyo ambaye ameshindwa kuendana na kasi ya Simba akifanikiwa kufunga goli 1 pekee kwenye Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.

Jobe raia wa Gambia alijiunga na Simba katika dirisha la usajili la mwezi Januari akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na timu ya Zhenis inayoshiriki Ligi Kuu nchini Kazakhstan.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet