Fat Joe atunukiwa Udaktari wa Heshima
Sisti Herman
May 31, 2024
Share :
Chuo kikuu cha Lehma nchini Marekani kimemtunuku udaktari wa heshima Rapa mkongwe nchini Marekani Fat Joe kutokana na juhudi na mawazo yake chanya katika jamii.
Chuo hicho cha mjini Bronx New York kimempa heshima Fat Joe ambaye pia ni mzaliwa wa eneo hilo katika halfa ya mahafali ambayo msanii huyo pia alihhdhuria.
Je unadhani msanii gani nchini anafaa kupewa udaktari waheshima?