pmbet

Faustina atishia kumuua mumewe, kisa hamridhishi kimapenzi

Eric Buyanza

May 7, 2024
Share :

Huko Lusaka nchini Zambia mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Dennis Sikanika amemburuza mke wake Faustina Chola mahakamani, akiiomba mahakama imuachanishe na mwanamke huyo (talaka)..baada ya Faustina kutishia kumuua kwasababu hamridhishi kimapenzi kitandani. 

Ilielezwa mahakamani hapo kuwa, Faustina mwenye umri wa miaka 32 ukiachilia mbali kutishia kumuua Dennis lakini pia alimuahidi kuwa ataanza kutembea (kufanya mapenzi) na wanafunzi wa kiume wanaosoma shule ya sekondari ya kata iliyo jirani. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet