pmbet

Faye amteua aliyekuwa bosi wake Ousmane Sonko kuwa Waziri Mkuu

Eric Buyanza

April 3, 2024
Share :

Rais mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amemteua bosi wake kwenye chama, Ousmane Sonko kama Waziri Mkuu saa chache baada ya kuapishwa kwake kama Rais wa nchi hiyo jana Jumanne Aprili 2. 

Akiongea baada ya kuteuliwa Bwana Sonko alisema;

"Ninapima umuhimu wa imani ambayo (Rais Faye) ameiweka kwangu," amesema Sonko akimshukuru na kumhakikishia Faye uchapakazi uliotukuka.

Ousmane Sonko ni mwanzilishi wa chama cha PASTEF, ambaye hakuweza kuwa mgombea urais kutokana na tuhuma alizopewa na serikali iliyopita na kuwekwa gerezani na kuachiliwa siku chache kabla ya uchaguzi

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet