pmbet

Feisal Salum hajaonekana kwenye msafara wa Azam kutoka Rwanda hadi Chuga.

Joyce Shedrack

August 12, 2026
Share :

Klabu ya @azamfcofficial imewasili Arusha kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Polisi Kenya.

Bado kwenye picha walizochapisha Instagram Feisal Salum hajaonekana kama ambavyo ilivyokuwa kwenye picha walizochapisha wakianza safari ya kutoka Rwanda.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet